Psalms 80:15-17

15 amche ulioupanda kwa mkono wako wa kuume,
mwana uliyemlea
kwa ajili yako mwenyewe.

16 bMzabibu wako umekatwa, umechomwa moto,
unapowakemea, watu wako huangamia.
17 cMkono wako na utulie juu ya mtu aliyeko mkono wako wa kuume,
mwana wa mtu uliyemlea kwa ajili yako mwenyewe.
Copyright information for SwhNEN